Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Januari Makamba amewataka ndugu, jamaa na marafiki kushikamana na kuwa wavumili katika kipindi hiki kigumu.

Ameyasema hayo hii leo wakati wa Ibaada ya kumuaga mke wa Naibu Waziri huyo iliyofanyika Jijini Dar es salaam, ambapo amesema kuwa mshikamano ndio kila kitu.

Naye Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson Mwansansu amesema kuwa mwanadamu anatakiwa kuishi vizuri ili kuweza kujiweka tayari muda wowote.

Kwa upande wake, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi, Humprey Polepole amesema kuwa msiba ni kitu kigumu lakini ameahidi kuwa Chama kitakuwa nao kwa wakati.

Jeshi lamuokoa msichana mikononi mwa Boko Haram
Ashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli