Video: Makonda ashiriki usafi na JWTZ, Atangaza Oktoba 1 siku ya kupanda miti
8 years ago
Leo Septemba 1, 2016 Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda ameshiriki katika zoezi la kufanya usafi wa jiji katika kuadhimisha miaka 52 ya JWTZ, Makonda pia ametangaza kuwa Oktoba mosi itakua ni siku ya kupanda miti. Bofya hapa kutazama video