Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda amewataka wananchi na makampuni mbali mbali tarehe moja Septemba kuliunga mkono Jeshi la Wananchi Tanzania kwa kufanya usafi na kuchangia damu kama sehemu ya kuadhimisha miaka 52 toka lianzishwe kwa kufanya usafi tarehe hiyo, ambapo pia tarehe 1 septemba ni siku ya mashujaa. Bofya hapa kutazama video #USIPITWE

Video: Walichozungumza JWTZ kuhusu Tarehe 1 Septemba, 2016
Video: Ukuta ni kiwango cha mwisho cha kufikiri - Makonda