Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amezindua jengo la Upasuaji kwa wanawake wajawazito katika Hospitali ya Mwananyamala Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es salaam, ambapo jengo hilo limedhaminiwa na Taasi ya GSM Foundation, ambapo jengo
Aidha jengo hilo limepewa jina la Makonda Obstetric Theatre kutokana na yeye kuwa muasisi wa jitihada hizo za ujenzi alipokuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni kabla ya kuteuliwa na Rais John Pombe Magufuli March 13 Mwaka jana kuwa Mkuu wa Mkoa

AFCON 2017: Misri Yatinga Nusu Fainali
Kairuki atoa neno kwa watumishi wa umma,asema atakae puuza atajifukuzisha kazi