Makonda azuia mawaziri Dar, Zitto akataa toba ya JPM, Majaliwa asweka lupango kamati nzima ya maji, DPP ajichimbia kutegua fumbo saa 168 za JPM, Madereva wa zamani wa DC kilolo wazungumzia vituko vya bosi wao, Raha zaendelea Simba, Kagere utampenda…, Bofya hapa kujua Habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya leo Jumatatu Septemba 30, 2019.

LIVE: Rais Magufuli akipokea taarifa ya watuhumiwa 467 wa uhujumu uchumi wanaotubu
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 30, 2019