Mama Samia alivyotinga hospitali kumuona Lissu, Moto zaidi wawaka rushwa boss Takukuru, Msako washika kasi, dau zaidi latengwa atakaye saidia kunaswa Mhadhiri UDSM anayehusishwa kashfa ya bil. 3.9, Polisi yafunguka magari bandarini…, Bofya kutazama habari zaidi zilizopewa uzito katika vichwa vya habari vya magazeti ya leo Nov. 29, 2017

Video: Diamond Platinumz awazungumzia Penny, Wema Sepetu na Zarina katika ngoma yake mpya ''Niache na Sikomi''.
Bila maadili taifa halitasonga mbele- Jaffo