Mara baada ya Timu ya Wananchi Yanga kuchezea kichapo cha 2-1 dhidi ya Pyramids ya Misri kwenye mchezo uliopoigwa jijini Mwanza ambapo mashabiki wa timu hiyo wamedai kurogwa na wapinzani wao wa Simba.

Tazama mbwembwe za mashabiki wa Yanga kabla na baada ya mechi.

Video hapa chini.

Video: Asimulia penzi la usiku mmoja lilivyomponza, ''Wasichana bebeni mipira kwenye mikoba yenu''
Mvua yakwamisha Safari za Treni