Matamasha yakuadhimisha mambo mablimbali yamekuwa yakifanyika kwa miaka mingi duniani lakini yaliyozoeleka ni yale yanayohusisha muziki, mavazi, vyakula biashara na kadhalika, ikiwa ni sehemu ya kudumisha utamaduni wa sehemu husika.
Kutokana na uwepo wa teknolojia umefanya tufahamu matamasha yanayofanyika sehemu tofauti tofauti duniani, kutokana na tamaduni zetu yanatufanya tuone sio ya kawaida na ya kushangaza zaidi.
Haya ndiyo matamasha ya kustaajabisha zaidi duniani, tazama kufahamu.