Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa nchi 34 zikiwemo nchi tano za Nordic ambazo ni Sweden, Norway, Finland, Denmark na Iceland.
Kwa mara ya kwanza Tanzania inakuwa mwenyeji ambapo hii ni mara ya 18 tangu mikutano hiyo ianze kufanyika, na mkutano huo utafanyika Novemba 7 na 8 mwaka huu Jijini Dar es salaam.
Waziri wa mabo ya Nje na ushirikiano wa Afrika Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi amesema jumla ya nchi za Afrika zitakazo shiriki ni 29 na takribani wageni 250 wanatarajiwa kuwasili…, Bofya hapa kutazama.