Mazingaombwe au kiini macho ni utaalamu wa kucheza na akili za watu kwa kufanya mambo yasiyowezekana kwa uwezo wa kawaida wa binadamu.

Fahamu wanamazingaombwe watano waliofariki dunia wakati wakifanya mazingaombwe hayo.

    1. Aliyedumbukizwa kwenye pipa la maji huku akiwa amefungwa pingu mikononi na pipa likiwa limejazwa maji na kupigwa kufuri.
    2. Aliyezikwa akiwa hai
    3. Aliyemeza wembe wenye kutu
    4. Aliyejaribu kuzuia risasi.
    5. Aliyetumbikizwa mtoni huku miguu na mikono ikiwa imefungwa minyororo

Maaskofu wailalamikia serikali ya Kongo
Video: Mbunge Kenya atishia amani ya Watanzania, Rostam awaumbua wapotoshaji