Leo tarehe 13 Juni 2016 na dondoo za magazeti na stori mchanganyiko zimetengeneza headlines kwenye magazeti mbali mbali ya hapa TZ. kati ya sotori hizo ni ya Mbowe kukamatwa na Polisi huku tunaambiwa kuwa Zitto anasakwa pia, Unaweza kupitia hapa.

Arusha: Mchungaji anaswa kwa kumbaka muumini akiwa anamuombea
Ole Sendeka kutaja orodha ya viongozi wa Upinzani ‘Mafisadi wa Mafuta’