Siku 15 za mateso na maumivu ya Lissu, Acacia wakubali yaishe kwa JPM, Esma: Nipo tayari kuwalea watoto wa Zari na Hamisa, Bunge lalipa fedha za matibabu ya Lissu, Mbowe: Haiwezekani Lissu kuondolewa Kenya….Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 23, 2017. Tazama video.
