Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Hillary Ngonyani amepata nafasi ya kusimama bungeni na amehoji nani analipa harasa waliyoipata jimboni mwake baada ya kutumia kiasi cha milioni 243 kuchimba visima 9 ambavyo ni maelekezo ya wataalamu wa Serikali lakini baada ya kuchimba visima hivyo Serikali ikasema kuwa maji hayo hayafai kwa matumizi ya binadamu. Hii hapa story kamili na majibu ya Serikali

Sterling Pound Yaporomoka, Ipi Hatima ya Uingereza!
Arsene Wenger Amekubali Kushindwa