Kijana aliyetambulika kwa jina la Washeli asimulia namna ambavyo ameweza kuendesha maisha yake kwa kujiingiza katika shughuli za kialifu, na kupelekea kukamatwa na Polisi.

”Nilivyoingia pale niliambiwa vua nguo zako kalia mto ndoo pale sasa niliushangaa sana ule mto ndoo ni ndoo zile za chuma za zamani siku ya kwanza ukiingia unaambiwa ukalie hiyo ndoo”

Nilikuwa sijui sheria walinipiga rungu mbili ni kwasababu sijui sheria baada ya kukaa kujua sheria nikajua aaaa, kumbe hapa tunaonewa bure mbona kuna kamera kwaajili ya kusachia, ukikalia mto ndoo ndo unasachiwa pale” amesema Washeli

Samatta achukuliwa 'Jumla Jumla' Fenerbahçe
Haya ndo madhara ya wallet