Miili 13 ajali ya Uganda kuzikwa mikoa mitatu, Vigogo CCM waanza kukimbia uchaguzi, Mlinda makaburi, ‘bebi’ wanaswa kwa mauaji, Kubenea mikononi mwa Polisi dar, kusafirishwa kwenda Dodoma kuhojiwa…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Septemba 20, 2017. Tazama video.

Trump, Netanyahu waungana kuzishambulia Korea Kaskazini na Iran
Liverpool yatupwa nje michuano ya Carabao