Miss Tanzania namba nne ambaye pia ni Miss Ruaha Linda Samson, ameungana na QueeenElizabeth Makune kusaini mkataba na Bodi ya utalii Tanzania kuwa mabalozi wa kutangaza na kukuza utalii wa ndani.
Ambapo ameahidi kutangaza utalii wa ndani ili kila mtu aweze kutembelea vivutio vilivyopo Tanzania kwa kushirikiana na Miss Tanzania ambae kwa sasa anashikilia taji la Miss Domestic Tourism.
[youtube https://www.youtube.com/watch?v=O2JhMNr5p84]