#SAUTIZETU ya Dar24 inakukutanisha na Mkazi wa Mabibo Farasi, Dar es salaam aliyevunja ukimya baada ya kupata nafasi ya kutoa sauti yake mbele ya Naibu Waziri, Luhaga Mpina kuhusu uchafuzi wa mazingira unaosababishwa na kiwanda cha nguo cha NIDA, Mkazi huyo ametoa kero hiyo baada ya Waziri, Mpina kufanya ziara katika kiwanda hicho ambacho kutokana na uchafuzi huo wa mazingira kimetozwa faini ya milioni 30 zinazotakiwa kulipwa ndani ya siku saba. Bofya hapa kutazama video piAa usisite ku-subscribe katika channel yetu ya YouTube kutazama videos mbalimbali  #USIPITWE

 

Video: Maji machafu yanayotiririshwa na kiwanda cha NIDA yanayolalamikiwa na wakazi wa eneo hilo

Lissu awazidi kete mawakili wa Serikali Mahakamani, apewa dhamana
Kigwangala Afanya ziara Ya Kushtukiza Kituo Cha Tiba Asili Foreplan (T) Limited