Mkuu wa mkoa Mororgoro katika tanuru la moto, Mjadala mzito kura polisi kabla uchaguzi, Gavana wa BOT aonya benki kutoa siri za wateja, Waingia matatani deni feki la bil.70, Mjaliwa ataka teknolojia itumike kuthibiti uhalifu  mitandaoni, Membe ainyuka tena Serikali, Kanuni uchaguzi wa mitaa pasua kichwa, Kijana miaka 19 ahukumiwa kunyongwa, Jafo akataa taarifa ujenzi hospitali, JPM azidi kung’ara Airbus zingine 2 zaja, TCRA yaonya wanaosusua kusajili namba zao za simu…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye magazeti ya leo Septemba 20, 2019.

Kipa wa Chelsea 'amchana' De Gea
Habari kubwa katika Magazeti ya Tanzania leo Septemba 20, 2019