Mzee wa Commercial, Ambwene ‘AY’ Yesaya ameonesha uwezo wake wa kucheza na ulimi kwenye mdundo kwa mtindo unaofahamika ka ‘twist’, ambao aliwahi kutamba nao miaka michache iliyopita.

Mkali huyo ameachia video ya wimbo wake wa tambo wa ‘El Chapo’, uliopikwa na Marco Challi ndani ya MJ Records na video ikaongozwa na Shedipro.

Iangalie hapa:

Paul Makonda kupanda ulingoni kupigana masumbwi na Cheka
Nape ajibu taarifa za kuzuia vyombo vya habari kuripoti maandamano ya chadema