Harmonize ameachia video ya wimbo wake wa pili akiwa chini ya Wasafi Classic akimshirikisha Diamond Platinumz ambaye ni Boss wake.

Audio imepikwa katika studio inayomilikiwa na Diamond, Wasafi Records. Enjoy!

Mahakama yakana zuio la uchaguzi wa Meya Dar, yadai ni ‘feki’
Ajetovic apinga kupigwa na Cheka, Mitaa yagawanyika