Kala Jeremiah ameachia rasmi video ya wimbo wake mpya ‘Wanandoto’. Rapa huyo amemshirikisha mtoto ambaye ni mwimbaji wa nyimbo za injili, Miriam Chirwa. Video imeongozwa na Pablo.

Azam FC Wafanyishwa Mazoezi Kwenye Maji
Serikali Yatoa Mwezi Mmoja Kwa Wanao Durufu Nakala Zake