Hatimaye Mwana FA ameachia video ya wimbo wake mpya iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wake, ‘Asanteni Kwa Kuja’.

Wimbo huo umekuwa na historia nzuri ya kuwa kazi iliyodhihirisha kuurudisha urafiki wake na mtayarishaji wa muziki ambaye ni mmiliki wa B’Hitz, Hermy B, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja tangu walipotofautiana.

Video imeongozwa na Alessio Bettocchi wa kampuni ya Studio Space Pictures (S.S.S) ya Afrika Kusini.

Benitez Afungashiwa Virago Real Madrid
G - Love aeleza jinsi Mr. Blue, Ebby Skillz walivyomkera

Comments

comments