Diamond Platinumz ameachia rasmi video ya wimbo wake Sikomi, wimbo ulioleta gumzo mtaani baada ya mashabiki wa mwadada Wema Sepetu kumponda Diamond kuhusiana na kile alichoimba kwenye wimbo huo.

Video ni nzuri huku audio ya nyimbo hiyo ikiendelea kufanya vizuri, kama ilivyo kawaida ya mnyama Diamond akipata nafasi ya kufanya kitu kizuri hukifanya haswa.

Dar24, imekusogezea video hiyo kiganjanio mwako, kuitazma bonyeza link hapo chini.

Ujerumani yamuonya Trump kuhusu Jerusalem
Sanamu la Lionel Messi lavunjwa vunjwa tena