MKurugenzi wa Itifaki na Mawasiliano wa Chadema, John Mrema amemtaka Katibu wa Itifaki Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole kurudi shule kwaajiri ya kujifunza hesabu.
Ameayasema hayo wakati akizungumza na Dar24 Media ambapo amesema kuwa mchanganuo alioutoa hauna mantiki yeyote.
“Nadhani Polepole anatakiwa arudi darasani, hajui chochote kuhusu hesabu za mkaguzi mkuu wa serikali, harafu anatoa takwimu ambazo sio sahihi,”amesema Mrema
-
Video: Hasim Rungwe afunguka, awataka Watanzania kuwa na umoja
-
Video: Zitto rudi darasani, hujui hesabu- Polepole
-
Video: Serikali yathibitisha hakuna upotevu wa Trilioni 1.5