Msemaji mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbas amewataka Adamu Mchomvu na Emmanuel Mbasha kumaliza tofauti zao mara baada ya kutokea ugomvi siku ya Agosti 15, 2020 uwanja wa uhuru.

Amesema hayo wakati akizungumza katika kipindi cha XXL cha Clouds FM ambapo amewataka waombe radhi kwa watanzania kwa kitendo cha kutoa maneno yenye ukakasi na kukuchua sheria mkononi mbele ya hadhara.

Dkt Abbas amempigia simu mwanamuziki wa nyimbo za dini Mbasha na kumtaka waombe radhi yeye pamoja na Mtangazi wa Clouds FM Adam Mchomvu kwa watanzania… Bofya hapa kutazama zaidi

Video: Khadija Kopa ''nakuja na EP kama zuchu''
Ibada zarejea makanisani -DRC

Comments

comments