Mtikisiko Bungeni, Dk. Mwakyembe azua maswali kuhudhuria mkutano wa Roma, Ripoti Benki ya Dunia yaipaisha Tanzania…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 12, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Live: Yanayojiri Bungeni Dodoma muda huu
Bosi Wa Ndege Iliyomburuza Abiria Auangukia Umma