Mtuhumiwa kutekwa kwa Mo Dewji kortini, Biashara soko la kariakoo saa 24, taa, kamera za CCTV zaanza kufungwa mitaani lengo ni kulifanya kama masoko makubwa duniani, Wadakwa na mafuta ya binadamu, Namibia wamkubali JPM, CAG wa zamani achambua utendaji wa Bunge…, Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye kurasa za mbele za magazeti ya leo Mei 29, 2019.