Mvua yaleta kizaazaa, yasababisha maafa, Wanafunzi wanusurika, ndege yashindwa kutua, Barrick yaweka masharti malipo ya sh700 bilioni, Dawa za kulevya za sh5 bilioni zakamatwa kwenye jahazi, Giza totoro lang’oa mtu Tanesco…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Oktoba 27, 2017. Tazama video

Koeman aeleza sababu ya kutimuliwa Everton, amtaja Giroud
Sugu apinga adhabu ya kufungiwa vyombo vya habari