Mvua iliyonyesha kwa siku mbili mfurulizo jijini Dar es salaam imesababisha maafa kwa wananchi wa maeneo tofauti huku baadhi ya barabara zikiwa hazipitiki.

Eneo la Tandale kwa mtogole leo barabara inayounganisha Kijitonyama na Tandale ilijaa maji na kushindwa kupitika kwa masaa kadhaa huku pia nyumba za watu zikijaa maji mpaka ndani na watu kulaziimika kuhama na kuhamisha vitu katika nyumba zao.

Tazama hali ilivyokuwa maeneo ya Tandale kwa mtogole katika video hii hapa chini;

 

Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 27, 2017
Video: JPM afanya uteuzi wa wakuu wa mikoa, makatibu wakuu