Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Dkt. Harryson Mwakyembe amesema timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars itafanya makubwa na kufuzu kwenye michuano ya kombe la Dunia nchini Qatar 2022.

Waziri Mwakyembe ameyasema hayo mara baada ya Taifa Stars kubuka na ushindi kwenye mchezo uliopigwa uwanja wa Taifa jijini Dr es salaa, septemba nane mwaka huu dhidi ya Burundi kea mikwaju ya penati na kufanikiwa kusonga mbele kwenye hatua ya makundi kwa kuwondoa wapinzani wao hao.

Papa Francis asema chuki dhidi ya wageni inakumbusha enzi ya Hitler
JPM afanya uteuzi mwingine mkuu wa JKT