Mwakyembe kumbana Makonda maswali tisa, Mbunge aliyegongwa na bodaboda kulazwa, Uchaguzi wabunge AELA kaa la moto, washindi CCM wapatikana, Chadema ngoma nzito, Mpango wa elimu bure wafanikiwa 100%, ni utafiti wa HakiElimu…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 6, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Bakari Shime: Tutalipa Deni La Watanzania
Kallaghe: Fedha za ruzuku hazizingatii idadi ya wanafunzi