Tazama msafara uliobeba mwili wa rais wa awamu ya tatu, Hayati Benjamin Mkapa ulivyotoka hospitali ya Lugalo na kupita maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam hadi uwanja wa uhuru kwaajili ya kufanyiwa ibaada maalum.

Mjane mama Anna Mkapa amepokelewa na Rais John Magufuli uwanjani pamoja na viongozi wengine wa kiserikali, akiwepo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, na Mkamu wa rais Samia Suluhu.

Familia yasema ugonjwa uliomwondoa Mkapa
Kim Jong Un atoa tangazo hili kuhusu virusi vya corona