Leo Juni 13 2016 ni maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kuongeza uelewa juu ya Ualbino iliyofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es salaam, Naibu Waziri wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Watu wenye ulemavu), Dk.Abdallah Possi ni kati ya viongozi waliokuwepo katika maadhimisho hayo ya 11 Kitaifa tangu kuanzishwa kwake hapa nchini 2006.

Katika unyanyapaa ambao umefikia hatua kubwa kiwango cha kwamba mtu mmoja anaweza akafikiri anahitaji kumuua mwingine ili apate utajiri, unyanyapaa huo ni mkubwa, hauhitaji tu vipindi vimoja au viwili katika TV, hauhijati tu habari moja au mbili katika magazeti, unahitaji juhudi nyingi na zamuda mrefu zakuhakikisha kwamba unyanyapaa huo unaondoka‘ – Dk.Abdallah Possi

Video: Waziri Mkuu awataka viongozi wa dini kushirikiana na Serikali kupambana na Rushwa, Ufisadi
Mshambuliaji aua watu 50 na kujeruhi 53 Orlando