Nape alivyoteseka kumuomba radhi JPM, Faru 9 waletwa kutoka ‘Sauzi’, Walimu wapigwa stop Whatsapp, 900,000 kufanya mtihani la saba leo na kesho, Nyoni na wenzake wampa kiburi Ausems…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa kipaumbele kwenye magazeti ya leo Septemba 11, 2019.

Makala: JPM ameshinda mtihani na kuliishi ‘neno’, Nape na wenzake ni darasa
Leo: Bomu lalipuka nje ya ubalozi wa Marekani katika kumbukumbu ya Septemba 11