Zaidi ya ndoo 200 zimekusanywa katika soko la mwananyamala ili kupiga vita maambukizi ya virusi vya corona katika soko hilo kwa kuhakikisha wafanyabiashara na wateja wananawa mara kwa mara kama wizara ya afya ilivyoelekeza.
Akizungumza wakati wa kuunga mkono juhudi za ukusanyaji wa ndoo hizo Meneja wa Kopafasta, Patrick Kang’ombe amesema kwakutambua umuhimu wa afya za wafanyabishara wa hapo wameamua kuchangia ndoo pamoja na sabuni ili kuendeleza mapambano dhidi ya virusi hivyo.
Bofya hapa kutazama…,