Ndugai awasha moto maadili kwa wabunge, amuomba kamishna wa maadili kuangalia uwezekano wa watunga sheria hao kula kiapo cha uadilifu kama ilivyo kwa watumishi wa umma, 34 kunyongwa, Vigogo Acacia waachia ngazi…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 3, 2017. Tazama video

Kishapu yapanga mikakati ya maendeleo
Magazeti ya Tanzania leo Novemba 3, 2017