Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amesema kuwa yupo pamoja na wanasiasa na atashirikiana nao vyema kwa kupokea ushauri, Maoni walio nayo na atapokea kwa mikono miwili kwa kuwa ameamua kufanya kazi na vyama vyote vya siasa ili kuhakikisha kuwa anatatua kero zilizopo katika taifa.

Magufuli azima Siasa hadi 2020, Zitto alia adai ni ‘vita dhidi ya demokrasia’
Uganda Kuwaondoa Wanajeshi wake Somalia