Nyalandu aanza kazi Chadema, Mbowe asema atapanda naye jukwaani kampeni za udiwani Mtwara mjini leo, Maajabu ya ‘tajiri’ aliyetaka kununua mahekalu za Lugumi, kapanga chumba kimoja na ana mdeni kibao ya kodi, JPM, Museveni wakerwa na uamuzi wa ICC…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 12, 2017. Tazama video

Wilder amtia moyo Anthony Joshua kuhusu ‘kumpasua’
Lema ataka wabunge wa CUF waondolewe Bungeni