Nyalandu akamatwa, Sakata la makinikia lafufuliwa bungeni, Ushahidi wa mtoto wamfunga jela maisha, Moi sasa yalia na uhaba wa madaktari, Samia atoa maagizo mazito 7 mifuko ya plastiki, Mume amuua mkewe mjamzito, mkwe, jirani, Ligi kuu inaishia na utamu wake…,Bofya hapa kujua habari zilizopewa uzito wa juu katika Magazeti ya leo Mei 28, 2019.
