Nyalandu atunisha misuli, chama chake chawahi kumkata, Bunge kuitaarifu NEC jimbo lipo wazi ligombewe, CCM yaionya Chadema, Mwanamke acharagwa mapanga, achijwa, Uchomaji vifaranga vyaibua mjadala…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 2, 2017. Tazama video

Baraka Da Prince alia kufanyiwa 'Figisu' YouTube
Ahukumiwa kwenda jela miezi sita kwa kosa la kuoa mke wa pili