Msanii wa Bongo Movie, Jacob Steven(JB) amesema kuwa wasanii wote walioingia bila mipangilio na malengo katika tasnia ya filamu ndio wamekuwa wa kwanza kulalamika na wengine wanakimbilia kwenye muziki wakiamini ndio sehemu itakayo walipa lakini wanashindwa kuelewa kuwa hata huko wanakokwenda bila kuweka malengo ni sawa na kazi bure.

JB ameeleza kujiwekea malengo hivyo hahitaji kuhama hama kwasababu pesa anayoipata katikaa kazi yake ya uigizaji ni nyingi zaidi ya Ubunge.

24 Waitwa Taifa Stars
Simba SC Wathibitisha Kumuwinda Ame Ally