Mkuu wa kitengo cha elimu, mafunzo na uenezi, jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani makao makuu, SP. Abeli Swai amesema kuwa wanapojificha na tochi kubaini magari yanayozidisha spidi lengo lao halisi kuwakomoa madereva.

Amebainisha hayo kwenye kipindi cha usalama barabarani dar 24 media, na kutoa ufafanuzi kuwa lengo lao ni kuhakikisha madareva wanatii sheria bila shuruti…Bofya hapa kutazama.

Tetesi za usajili barani Ulaya
Wabunge wawili wa CHADEMA watimkia NCCR- Mageuzi