Nchi ina amani lakini wanawake hawana amani nchini tanzania,hayo yamesemwa na Dr.Hellen Kijo Bisimba Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria Na Haki Za Binadamu LHRC alipokua akiongea katika hafla ya uzinduzi wa kitabu cha ”Tunza amani ili ikutunze” jijini Dar es salaam, Bisimba amesema kuwa  haki isipotendeka husababisha kutoweka kwa amani ya nchi.

video: Naibu waziri atoa wito kwa wanasiasa na wananchi kutokushiriki maandamano yeyote
Mipango Ya Pep Guardiola Yamkataa Samir Nasri