Video: Rais Magufuli afungua Mkutano wa Dunia wa Vyama vya Siasa
7 years agoComments Off on Video: Rais Magufuli afungua Mkutano wa Dunia wa Vyama vya Siasa
Leo Julai 17, 2018 Rais Dkt.John Pombe Magufuli amefungua mkutano wa kidunia wa vyama vya siasa ulioandaliwa na Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) kwa kushirikiana na Chama Cha Mapinduzi (CCM).