Bunge la 11 tayari limepitisha bajeti kuu ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017, bajeti imepita baada ya wabunge washiriki kupiga kura http://bambawefushia.com/elite-singles-no/. Waziri wa fedha na mipango Philip Mpango kaeleza kuwa Rais John Pombe Magufuli ametaka kodi yake kukatwe ili kuongeza mapato ya serikali.

“Kwakuwa kiongozi ni lazima aongoze kwa mfano, Rais alisema yeye ni mbunge wa Tanzania yote na anapenda awe wa kwanza kukatwa kodi kwenye mafao stahiki ya kustaafu” –Waziri Philip Mpango

Chelsea, Arsenal Kumuwania Alvaro Morata
Chris Brown amuokoa Shabiki aliyetaka kujitoa roho