Maandamano ya CAG yaja, Magufuli asema hajachoka kubadilisha mawaziri, Wafanyakazi wasikilizia mishahara mipya j’tano, Takukuru yabaini maficho ya bilionea aliyetoroka nchini, JPM azidi kuwapa neema Ruvuma, Macho, masikio bungeni, Wiki ngumu kwa mafisadi…,Bofya hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Aprili 8, 2019.