Jana August 12 Rais Magufuli aliwasili Dar es salaam akitokea mkoani Mwanza alipokuwa katika ziara. Baada ya kuwasili Rais Magufuli alitoa hotuba fupi katika ofisi ndogo za CCM zilizopo Lumumba, ambapo kati ya mambo aliyoyazungumza ni kuhusu mapato yanayopatikana kwenye viwanja vinne ambayo hadi sasa haijajulikana mapato hayo yanakwenda wapi likiwemo jengo la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi. Bofya hapa kutazama video #USIPITWE

Polisi kuimarisha usalama mechi ya Yanga na Mo Bejaia ya Algeria
Rais Magufuli aisifia ‘Sizonje’ ya Mpoto, ategua fumbo la mashairi yake