Rais Mugabe king’ang’anizi aisee, aibuka hadharani bila mke, jeshi lampa ulinzi kama Rais, Bombardier pasua kichwa Canada, ni kutokana na Waziri Mkuu wa Canada kusema hawezi kuingilia na kwamba anaiachia mahakama, Mbowe awaomba viongozi wa dini kupasa sauti…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Novemba 18, 2017. Tazama video

Video: Ukuaji wa uchumi wa Taifa unaridhisha - Waziri Mkuu
Ndugai aunda kamati mbili kushughulikia sekta uvuvi na gesi