Katika kuhakikisha Kagera Sugar inaendeleza wimbi la Ushindi hasa kutoruhusu Simba kujichukulia Pointi tatu kirahisi, Mkuu wa Mkoa Kagera Jenerali Marco E. Gaguti, ametinga kambini makao makuu ya timu hiyo yaliyopo Wilayani Missenyi na kujumuika katika mazoezi ya pamoja, kisha kutoa maelekezo mahsusi kwa Uongozi wa Timu na Serikali…, Bofya hapa kutazama

Waandamana kupinga muswada unaodhibiti kushiriki ngono kabla ya ndoa
Francois Zahoui abeba jukumu la kuivusha Les Fauves