Wakandarasi wa Kampuni za CHICCO Engineering na Nyanza Road Work leo wamekamatwa na Jeshi la Polisi Kanda maalumu ya Dar es salaam kwa agizo la Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda.

Wakandarasi hao wamekamatwa kwa kosa la Kushindwa kutekeleza miradi ya Ujenzi wa mto Ng’ombe na barabara ya Kivule kwa wakati na kuleta usumbufu mkubwa kwa wananchi ukiwemo wa mafuriko, nyumba Kubomoka, uharibifu wa mali, ajali na magari kuharibika huku wakandarasi hao wakila maisha mitaani.

Jafo awasha moto mwendo wa Halmashauri kufungua akaunti
Hukumu ya kifo yatolewa, walimuua mwanafunzi kwa moto